Wednesday, September 9, 2009

Mutura - the ultimate African Delicacy

wakenya wakiselebuka ngoma za kikuyu baada ya kushiba "mutura"
recipe inakuja baadaye kidogo.
ngoma yenyewe ikiwa tayari. hapa ni chumvi tu na pilipili kidogo halafu mambo kama ulaya vile!!!!


kama unampa mtu wa heshima ni vizuri ukamwandalia freshi kwenye sahani lakini kwa masela sisi ni mbele kwa mbele. From the fire to the belly!!!!!!! hahhahahahaha

usipime. Nairobi ukikuta kibao hichi, jua ndo umefika penyewe.



No comments:

Post a Comment