
Huyu kaka ambae jina lake nalihifadhi,ni mkazi wa mwananyamala kwa mama zakaria inasemekana amekuwa mchonganishi kwa kutoa maneno huku na kuyapeleka kule mpaka kufikia watu kupigana ile mbaya.Sasa leo mchana wahusika wasichana kwa waavulana ambao wamedai kuchoshwa na tabia yake hiyo wamemkamata wamempiga na kumuamuru kuvaa kanga,wakamwamuru apike,afue,afagie,aoshe vyombo n.k

amepakwa lipstik na eye shedow akaambiwa aweke pozi

ukimtazama kwa karibu utaona uvimbe,hapo ni baada ya kupigwa maskini yaani mpaka nilimuonea huruma........

kuna mdada hapa alikuwa anamwambia akae vizuri anyooshee vidole ampake rangi.........

hapo kapewa kanga kaambiwa ajifunge...ili akafanye kazi za kike
No comments:
Post a Comment